Kuna watu tunatafuta ajira na hatujapata..tunafanya hizo biashara unazosema na tunateseka usiku kucha kuzunguka kuuza barafu,,ukisema ujipe likizo ndio utashinda njaa hiyo siku.
Ukiwa nayo unamshukuru Mungu nkamu.
Mara ya 2 umeongea hili humu.
Ile zawadi yako ya Jersey ya Arsenal nikuletee best?
Kushabikia Arsenal kumefanya Uzee wangu kuwa murua kabisa, hata ikipita miezi 6 pension haijatoka huwa najipa moyo kuwa ikilipwa itakuwa ya Mkupuo, then I keep waiting tu 🙈