Umendeza sanaaaaa mamykuna muda nawatamani wanafanyabiashara, kuamka asubuhi uvivu jamani
Hebu hukoo!we nlikutumie full picture ukae utulie
Hii simu kuna mtu kakushikiaPerformance yenu Jana ilikuwa nzuri..
Kuanzia possession of balls,mashambulizi
Kwa kweli mpo vizuri... mechi ya Jana haikuwa rahisi sana kwetu kwanza tulikuwa ugenini Emirates.
Ila asenali na nyie mkichezaga na timu ndogo mnakuwa mafundi kweli .
Timu kubwa zinawachakaza mnakuwa weupe kama karatasi.
ERoni nakusalimia.
Leo sikugusi.
Nawataka Hawa Wana Depal ,Fortnox na Wigelekelo waliojitolea kutusagia kunguni
Vipi Wasaga kunguni,kazi yenu imetick???
Ngapi huko
Biliiiii
Unaona sasa timu za wanaume tunashinda ugenini..
Nyie AM imewachakaza mubashara kabisa nje ndani mkiwa nyumbani..hakuna timu pale.
Na tunawasubiri anfield mwezi ujao tuwachinjie nje mazima
YNWAView attachment 2153551
Mngoni km mngonii!!!hunaga shoo mbovudea wee una nn lakini? Kiuno changu kilivyo laini kuliko urojo wa zenji, kinavyozungka sasa km feni mbovu isiyo na break,
Kuna kiumbe fulan huwa anasema "tulia kwanza utaniangusha bas au twende slow slow" maan sio kwa mzunguko huo, hapo sasa tena kwa style, huku wimbo ukinogesha zaidi. Weuweeeeeeeeh.
Mnicheke kukata viuno jaman? Maisha enyewe haya yalivyo akuuuh.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
kuna muda nawatamani wanafanyabiashara, kuamka asubuhi uvivu jamani
Hii simu kuna mtu kakushikia
Haiwezekani uandike busara hivi
Mwanzoni lilikuwa zaidi na mbaya zaidi tulikuwa tunapigwa na hadi timu za middle table, Sasa hivi hadi City mwenyewe anaogopa kukutana na Arsenal hii
Eeeeeeeh ndyooooohNgoja nikague kague gallery hapa kama nitapatamo kapicha
kuna muda nawatamani wanafanyabiashara, kuamka asubuhi uvivu jamani
Kuna siku nilikuwa namsikiliza
Nikajaribu kutengeneza picha,huyu dada Kwa hii sauti angekuwa anamuimbia Mungu huko kanisani.
Ubingwa gani??
Huu huu au mnasnzisha mashindano yenu pekeyenu na kujipa ubingwa
Point 1 bado cc wee, yaan tupate sare au tufungwe, sasa hakna kitu km hicho,Gari Gani imewaka wakati mshachanganyikiwa tumeshawafikia
eti kigumu kuliko maisha yangu
Ila Kuna watu nyie
Na ile michezaji ilivyo mivivu,si ingetelekeza timu,waende kulala usingizi uwanjani
Unakuta wanatembea tu,hata kukimbia hawataki.
Eti eeh
Nenda kaunguze hiyo Hela
Nkamu achia yote basiikuna muda nawatamani wanafanyabiashara, kuamka asubuhi uvivu jamani
Eeeeeeh ndyoooooooh.Asantee
Uzeeshwe na nini sasa?Wa mjini hatuzeeki sababu hatulimi
Hebu hukoo!we nlikutumie full picture ukae utulie
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app