[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee
Unataka utupe gharama za kuja kukuuguza huko Mersey !
Nani atakuokota sasa pale Anfield ukizimia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiiiih.Leo kuna ki hali cha hewa mwanana
Na enjoy tu kuona fujo za vijana wa J. klopp
SA kama nakuona [emoji1787][emoji1787]
Mwenzako jana nilibet na shabiki wa Arsenal… nilimwambia mtafungwa
Na yamefungwa [emoji1787][emoji1787]
Nisubiri muamala nikale ugali dagaa wa mama Clareee [emoji2212][emoji2212]
Wee the [emoji170] mmefuzu robo final UCL? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hongereni mnoo.
Hata man city & liver, match hiyo n rahis kubet, city anachukua 3pts, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna timu hata mkitaka kubet mtu unaumiza kichwa umpe nani ushindi
Timu kama Chelsea,City matokeo yao huwa hayatabiriki..
Liver na Aseno mechi iko wazi kabisa mshindi anaonekana nani afu mtu eti anajitoa ufahamu anampa Asenali..
Watu wamekuwa huru sana aisee[emoji1787],katiba mpya ni muhimu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaah we khaaaahSasa hawa wanapitia kipindi kigumu ila bado wanaperform vizuri Jana wameshinda ugenini.
Naimagine liman u lingekuwa ndio linapitia haya,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]haki ya nani [emoji23][emoji23][emoji23]
Na netiboli zenu zile mngekuwa mnatandikwa hadi 30
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msieeeeeew.Mimi ni mzito sn kutoka kiunoni kwenda chini,huwezi kunibeba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah.
Vijana wako busy na zoezi dSasa hawa wanapitia kipindi kigumu ila bado wanaperform vizuri Jana wameshinda ugenini.
Naimagine liman u lingekuwa ndio linapitia haya,🤣🤣🤣haki ya nani 😂😂😂
Na netiboli zenu zile mngekuwa mnatandikwa hadi 30
Msimu uliopita tulichukua ndooWee the [emoji170] mmefuzu robo final UCL? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hongereni mnoo.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Na hicho kiuno chako kigumu kuzidi maisha yangu unataka utuwekee hapa?"Wakisema ni Malaya, I don't care,
Wakikusema vibaya, I don't care,
Baby mimi, I don't care"
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Hapa kusah alijua kuimba, nipo kitandani nakata viuno.
Nachukua video, nataman nitume hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu weka picha yako kwan mlongo. [emoji7][emoji7][emoji7]Nyie mlioko Dom nna hamu na kukuu wa Tango nipeni ofaa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Msimu huu Etihad tunachukua EPL, na UCL, gari limewaka hivyoo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vijana wako busy na zoezi d
Msimu uliopita tulichukua ndoo
Msimu huu pia naona mambo siyo mabaya
Kwenye haya maisha, kama Wewe ni mrembo hakikisha Mwanaume wako ni Shabiki wa Arsenal.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu pressure mnazifuata wenyewe kumbe, uwiiiiiiih
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Karibu Chama kubwa la the Gunners, Mwakani ubingwa wa kwetu 💪💪[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akaaah sitakiii.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea wee una nn lakini? Kiuno changu kilivyo laini kuliko urojo wa zenji, kinavyozungka sasa km feni mbovu isiyo na break,Na hicho kiuno chako kigumu kuzidi maisha yangu unataka utuwekee hapa?
Tukikucheka sasa? [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli mnastahili tuzo, na mjengewe sanamu lenu. UwiiiiihKwenye haya maisha, kama Wewe ni mrembo hakikisha Mwanaume wako ni Shabiki wa Arsenal.
Hatujisifii ila hakika sisi ni wavumilivu mno, kama tumeweza kushabikia timu miaka 16+ bila ubingwa wa epl ndiyo tushindwe kuvumilia mahusiano[emoji87][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] city itakua wapi? Liver? Acha drama babuuuh.Karibu Chama kubwa la the Gunners, Mwakani ubingwa wa kwetu [emoji123][emoji123]
Ungeona gap la point lililokuwepo kabla na Sasa plus mpira mwingi tunaoupiga, hakika yajayo yanafurahisha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] city itakua wapi? Liver? Acha drama babuuuh.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app