Selfika na JF: Snap it. Show it

Saint Anne

Goma ni mapumziko

Kulikoni umekata pumzi

Kumbe shabiki maandazi wewe
Kutokuwepo humu haimaanishi nililala.

Kuna baadhi ya watu tu niliwaonea huruma,nikaamua nipunguze kuwanyanyasa.

Tangu mechi inaisha nilikuwepo Uzi wa liver na Kwa taarifa fupi ni kwamba tumeshinda


Kuna watu sijui wataniambia Nini

 
Naona Diego Jota ana kismart Cha kutufunga Arsenal mara Kwa mara, hata lile kombe la Fa alitufunga na kutolewa kwenye mashindano Kwa sababu yake.

All in all, nafarijika na improvement yetu nowadays. Tuna shambulia na kufanya trials za kufunga kila tupatapo nafasi sio kama zamani za kocha Emere.

Top 4 Mwaka huu tunaingia inyeshe mvua liwake Jua.

Gunners forever 💪💪💪
 
Performance yenu Jana ilikuwa nzuri..
Kuanzia possession of balls,mashambulizi
Kwa kweli mpo vizuri... mechi ya Jana haikuwa rahisi sana kwetu kwanza tulikuwa ugenini Emirates.

Ila asenali na nyie mkichezaga na timu ndogo mnakuwa mafundi kweli .
Timu kubwa zinawachakaza mnakuwa weupe kama karatasi.


ERoni nakusalimia.
Leo sikugusi.

Nawataka Hawa Wana Depal ,Fortnox na Wigelekelo waliojitolea kutusagia kunguni
Vipi Wasaga kunguni,kazi yenu imetick???
Ngapi huko


Biliiiii

Unaona sasa timu za wanaume tunashinda ugenini..
Nyie AM imewachakaza mubashara kabisa nje ndani mkiwa nyumbani..hakuna timu pale.

Na tunawasubiri anfield mwezi ujao tuwachinjie nje mazima


YNWA
 
Umeamkaje mdogo wangu
 
Of course ni kama game ilikuwa 50/50 tu, ukiangalia shots on target 2/3 nyie 2 mbili mkazi convert kuwa magoli wakati sisi zimeokolewa. Lakini ukiangalia hata mashambulizi hatari tumefanya mengi 52 dhidi 38 yenu.

Kuna vitu vichache tunahitaji kuviboresha ila I can see bright future with this Arsenal 💪💪💪💪
 
Boresheni
Ila sisi ni moto wa kuotea mbali aisee
 
Timu lenu siavi mmeacha mipira mmegeukia u free Mason Ngoja siku hiyo na man utd hayo mapepo lazima yatoke yatake yasitake mpaka Leo hua hatujui zile tano zilifikaje Ni nguvu zenu za giza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…