Selfika na JF: Snap it. Show it

Daah baba Joy Mungu akuweke sana. Yaani tangu nione hii comment ni ninacheka hadi machozi. Kwa nini kumtaja Mtumishi wa Mungu lakini?
Sijui kwa nini kamchagua Abiudi Misholi. Nina CD zake kama nne hivi imebidi nikazitafute yaani. Huu wimbo wa Tenda Miujiza Naupenda sana. Nimeusikiliza huku nacheka yaani. JF bana dah!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…