Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,226
Unadaiwa ee 🚶🏻♀️hakuna simu inayo inagia nime chili mie.. leo nipo jf tu 😃😃😃 no whatsapp no voiceee...
Unadaiwa ee 🚶🏻♀️hakuna simu inayo inagia nime chili mie.. leo nipo jf tu 😃😃😃 no whatsapp no voiceee...
Pole ya nini.. unanijua mie😎😎😎 hadi unipe pole au unaipa pole username fake 🤠🤠🤠Pole sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwanza umeeleww nn nachomaanisha? Au ndo umekurupuka? Nliwahi sema hili kabla? Siwezi Kuficha kuna comments kaziweka hapa ktk kujibu au kusimamia anachokiamini, ila hakupaswa kuziweka vile,Na wew dogo acha ujinga kwahyo mtu Kama hua Hali maeneo ya uswahilini Sana haruhusiwi kupost







Pandisha tshirt juu kidogo bosslady una mapaja manono.Mie sina muda wa kujadili mavazi ya mtu nawasalimu tu in Selfika's name!
View attachment 2152965
Mkimaliza majadiliano mnistue niendelee kuselfika mieee🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️
Endelea kujaza comments na wengine.Pole ya nini.. unanijua mie😎😎😎 hadi unipe pole au unaipa pole username fake 🤠🤠🤠
Siku ya hukumu Kila mmoja atajibu dhambi zake mwenyewe!!Nimeona tako ndani ya tisheti fupi mamake.







Ukweli lazima usemwe, unafiki watu wa humu umewajaa.Too much usasa nao ni ulimbukeni tu linapokuja suala la maadili kidini, hata kimaadili ya ktz tu ukiweka usasa mwingi wananchi tutakushangaa kidogo.
Umagharibi usitujae vichwani tukaanza kushangaa wengine na mitizamo yao.
Mimi Monday to Friday , frm 0730 to 1700 naspend sana muda na Walokole. Nawajua kwa kiasi, siwezi mshangaa SA anavyoshangaa pombe wala short clothes’ hapa ni zile zilizojuu ya magoti.
Hapa mnashupaza shingo sababu ni mnatype tu, I’m sure hamuwezi ruhusu watoto wenu wavae sket iko katikati ya mapaja na mkayafurahia.
Keyboard warrior.. I rest my case
Tchao






Umekalili eeh! karibu pasi tupoze njaaa badae upewe kituUnadaiwa ee 🚶🏻♀️
Dhambi gani kupenda tako?Siku ya hukumu Kila mmoja atajibu dhambi zake mwenyewe!!
muwe na jioni njema!
Na iwe hivyoooooo.
Usichukulie siriazi haya maandishi.
On serious note;He is a very good person...
Kutofautiana kimitazamo haiondoi sifa yake kwamba ni mtu mzuri sana.
Binadamu unafki wa hapa na pale muhimu, ila watu wanazidisha as if waliambiwa kuna fungu la 10 watapata 🤣🤣🤣Ukweli lazima usemwe, unafiki watu wa humu umewajaa.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
EwaaaMie nawasalimu tu sijatia neno!
Huku pia nipo! View attachment 2152977











😂😂😂😂Siku ya hukumu Kila mmoja atajibu dhambi zake mwenyewe!!
muwe na jioni njema!
Nasisitiza mwisho wa siku kila mmoja atajibu dhambi zake!Pandisha tshirt juu kidogo bosslady una mapaja manono.
Mama mchuchu 🤸🏻♀️🤸🏻♀️🥰Mie nawasalimu tu sijatia neno!
Huku pia nipo! View attachment 2152977
Wee c nimekukataza, watu wako buzzy na mahubiri?Mie sina muda wa kujadili mavazi ya mtu nawasalimu tu in Selfika's name!
View attachment 2152965
Mkimaliza majadiliano mnistue niendelee kuselfika mieee![]()



haya futa haraka. Leo niko ktk mood ya upako, woiiiiiiiiiiih. Unataka kunifundisha cha kuandika au nikupe ID uandike unavyotaka.. alafu hii ni chirt chart ukija serious unaumiza kichwaaa
.. hakuna mjadala serious hapa.. kama unashapaza hadi kichwa shauliyako.. mie toka asubuhi nime chili kitandani kaja wa kumpumzikia nime mpumzikia badae natoka hapa yanaishia hapa
![]()








ndyo ndyoooooooooDogo uje nikuombee au hapo hapo ulipo upige magoti Kama upo hostel hapo nakuja Sasa hiviWee c nimekukataza, watu wako buzzy na mahubiri?haya futa haraka. Leo niko ktk mood ya upako, woiiiiiiiiiiih.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mimi Nimeselfika kama kawaida yangu mkuu !Huko kwingine mie sipo !Dhambi gani kupenda tako?