Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapa naungana na wew hakuna hio dhambi kabisa maanake wazungu wanavopiga zile bikini zao vibukta wote Wana dhambi hah
Dogo anaishi sijui wapi.. swala mavazi lipo sana kitamaduni na ki mazingira.. kuna wadada na wamama nawajua wapo deep deep spiritual and Holy ila ukikuta min wanazo piga utapenda.. au suruali na wanapendeza.. mazingira waliyo kulia na tamanduni zao.. aende kuangalia kanisa la Joel Osteen.. labda ataachana na itikadi zake πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Ewaaa
Mtakatifu

Hilo lipo wazi mbona na ushindi ushapata.

Wewe ni mtakatifu kuliko wote hii dunia,
Utakuwaje na dhambi kama mimi?
Unataka tena uhangaike kuprove utakatifu wako?
Yes.! Mie ni mtakatifu sanaaa.. Kristo alinifia peke yangu.. na hilo halina ubishi.. maana for me utakatifu ni asili yangu ni nature haimuliwa na matendo yanguu.. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Taja hizo dhambi hapa, unafiki wenu leo unawaumbua,
hahahah watu weuweeeeeeeeeeeh, na bado mtaonesha rangi zenu halisi hapa.

Mkianzaga mapambio siyo ya kiswahili wala kiingereza, kujaza server tyuuh, leo tunashuhudia mbivu na mbichi hapa,


Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kabisa aisee kwenye mavazi hapo nitabishana mpaka asubuhi
 
Yes.! Mie ni mtakatifu sanaaa.. Kristo alinifia peke yangu.. na hilo halina ubishi.. maana for me utakatifu ni asili yangu ni nature haimuliwa na matendo yanguu..
Basi kama unajijua hivyo huna haja ya kuhangaika kuprove sana kwa watu wakujue ni mtakatifu sana ,
Utakatifu wako utajifunua wenyewe.
 

Kwanza dhambi zipo kwenye category tatu.. Sin against God , Sin against yourself na Sin against your beloved ( ndugu).. unataka nianzie wapi.. pia nikuulize swali? Maana ya dhambi ni nini?
 
Basi kama unajijua hivyo huna haja ya kuhangaika kuprove sana kwa watu wakujue ni mtakatifu sana ,
Utakatifu wako utajifunua wenyewe.
Inakuchoma eeh 😊😊😊.. vitani mshindwa hunyoosha mikono juu na kusepa.. Huna unalojua kwa habari ya dhambi.. na ubishi umekukaaa.. jifunze ufundisheke
 
Kwanza dhambi zipo kwenye category tatu.. Sin against God , Sin against yourself na Sin against your beloved ( ndugu).. unataka nianzie wapi.. pia nikuulize swali? Maana ya dhambi ni nini?
Hawa madogo wako shallow Sana mkuu ndio maana Ni rahisi kupigwa sound na wachungaji uchwara wazee wa mafuta and the likes
 
Umeshinda na dhambi zako
Wala sihitaji unieleweshe chochote..misumari kapigilie huko kwenye vipedo ili wazidi kuvaa.
cc wee achana nao, leo umeamini mwenyewee, nikiwaga nasema humu watu ni wanafiki hawajui wana amini na kusimamia nn, naonekana mja laana, leo wameonesha wazi wazi,

Wakianza kuweka pambio za kuabudu na kusifu, hivyo vifungu vya bible, tena kwa lugha zote, hahahahah leo watu wamejivua gamba na kuwa watupu, woiiiiiiiiih


Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hawa madogo wako shallow Sana mkuu ndio maana Ni rahisi kupigwa sound na wachungaji uchwara wazee wa mafuta and the likes
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Leo hii na sie tuanze kuvaaa kama kina Mtume Petro au kina Daudi enzi hizoo πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. dah issue ndogo sana ya akili mtu anataka kutumia maguvu..
 
Wewe watu kuona wanacheka wanafurahi na wewe sio kwamba mpo kundi moja.. dhambi ni dhambi na haki ni haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…