Biblia haipo general mkuu.. kuna maandiko yalikuwa yana wahusu group flani tu la watu.. ukisema uchukue ilo andiko na kuli apply kwako utatoka jasho mkuu.. labda kisayansi.. ila kuoa dada raha haya ma kesi ya kupigiwa nadra sana na mnalinda mali na urithi wenu.. ndivyo wafanyavyo watu wengi wa assia na mashariki ya katu ambapo ukristo ulianzia huko