Bila Bosi Ledi kuonekana japo mara moja hapa uzi unakosa ladha. Huoni masaa karibu tisa mnajadili utopolo wa sijui tattoo, sijui mtepesho, sijui nini....Angekuwepo Bosi Ledi kungekuwa na balansi ya mada...tena awepo na shouzz yake wa jomoniii na mizagamuko weh! Mbona ni