Sasa tembea kutoka Ahmadiyya kama unaelekea kwenye maduka ya Vitambaa kwa Mpemba au ofisi za Abood. Ukimaliza huo msururu wa fremu kuna hiyo Coco beach restaurant, zunguka nyuma sasa. Ni kabla hujafika maduka ya Vitambaa kwa Mpemba.

@Saint Anne haya njoo hapa cc eleza ukweli wako wee hujui nn maana ya, mzagamuo?
Yaan wee huyu usijue hili? Wee hapo? Kabisaaaa? Hebu njoo ujibu kwan hapa.