Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Sawa BossKesho asubuhi uanzie ofisini
yes! mapema sanaSawa Boss
Sio imani ni ukweli mtupu Redbull baba lao.. nakuwaga nazo kwenye begi kama sio begi kwenye siti ya nyuma ya gari huwa nazijaza kama dukani πππ bila kusahahu strawberry.. bajaji aliniacha salama na sasa hivi nipo Gairo baridi hapa kha ππ
ππππ sijui niliandika manini safari mkianza pamoja shurti mmalize pamoja.. baada ya hapo Lushoto.. ni kuacha alama tu
Jirani unapita mle mle ππ...Yaani jirani litumie hilo baridi kiufasaha maana huku Daslama Kimanzichana hapafai jua kali joto mchana hadi usiku, tunatiririka majasho utasema muda wote tunakimbizwa na mbwa...π₯΅ππ
Redbull ni ziadi ya baba lao, haijawahi niangusha.
View attachment 2149307
#strawberries..ππ
πππ lushoto hapawezi muacha salama mtu.. japo na kwingine kupo hapa.. kama unajua unajua jirani..
Aiseeeeeeeee!!
Idiz wadidizAiseeeeeeeee!!
Jirani unapita mle mle ππ...
baridi la gairo haijawahi niangusha.. ni kabaridi flani kanafanya bendera ya chuma mlingoti chuma na kamba yake chuma.. Dar es Salaam kama tanuru unaweza tamani kila kitu umalizie kwenye gari.. ππππ.. hapo kungekuwa na ka vienna coffee.. jirani huniangushi unajua jirani
πππ lushoto hapawezi muacha salama mtu.. japo na kwingine kupo hapa.. kama unajua unajua jirani.. View attachment 2149328
πππ chuma chuma hasa tena chuma cha pua.. jiraniMlingoti ndo afya yenyewe π
Chuma isipokuwa wima lazima umtafute tabibu π π na raha za dunia inakuwa ndo kwishney.
Jirani wee ukigonga coffee mie kaugonjwa kangu ni....
View attachment 2149336
Hot Chocolate Milk...ππ
Leo hapanaUnaweka picha tuje?
Ushakula poshoo bahati yako na Mimi ningekua online ningeweka dadekNani kama boss lediiiiiiii????View attachment 2149181
πππ chuma chuma hasa tena chuma cha pua.. jirani
Dunia bila kupashana moto kwa moto hadi cheche zitoke hapo sawa na kuwa sayari ingine tu ππππ
ina ka harufu flani kazuri hasa upate mjuvi wa kui make.. unabaki kujiramba kama kuramba lamba lamba ya maziwa ππ