[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya wee nenda huko bedroom kaanze kusifu na kuabudu, utapokelewa mwanjelwa au 8 8,Haipo kwani?[emoji3]
Ipo nini sasa??
Hahhahaah Mtumishiiii hadi uli-save? Nilikuwa tu nanogesha Valentine's[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2148455
Afu chini umegonga na kitu Cha Inch 4+; twende taratibu mdogo angu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona mkono utaniangusha sasa
Ila kwa ile baraka boss ledi huna mpinzaniNimezooom ..asee baraka yetu ile izidi kubarikiwa milele na milele amen![emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapi mama maleziiiiiiiii ktk ubora wake, woiiiiiiiiiih.[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2148455
Mkuu huwa unasema wanyaki wana kishundu skuelewi ila leo nimeshuhudia neema zenyewe[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2148455
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya wee nenda huko bedroom kaanze kusifu na kuabudu, utapokelewa mwanjelwa au 8 8,
Njoo nikufunde mambo ya bedroom, wee vipi khaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kungwi uolewe na wewe sasa, na udumu kwenye ndoa yako. Maana makungwi kwa kuachika tu hawajambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya wee nenda huko bedroom kaanze kusifu na kuabudu, utapokelewa mwanjelwa au 8 8,
Njoo nikufunde mambo ya bedroom, wee vipi khaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
MweeeBado wewe tu kuselfika ili nilale sasa mdogo wangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kungwi uolewe na wewe sasa, na udumu kwenye ndoa yako. Maana makungwi kwa kuachika tu hawajambo
🤣🤣🤣🤣 Hapana nimeacha nimeacha ma mchungaji Anne ni next level!!🙌🙌🙌🙌Umeamua kuwa Anne au?
Nimeilamineti na kuikuza ipo hapa sebuleni Misungwi...Hahhahaah Mtumishiiii hadi uli-save? Nilikuwa tu nanogesha Valentine's
Daah sijui watu wa humu mnasomea upambe. Haya unakuwa na picha gani?Nimeilamineti na kuikuza ipo hapa sebuleni Misungwi...
Sikutegemea kabisa Mama Mchungaji kama utakuwa hivi. Unajua ukisikia mtu ni Mrs halafu ana watoto unakuwa na picha yako kichwani...
Ogopa matapeli. Hakuna Mnyaki asiye na li(kishundu) mkuu!Mkuu huwa unasema wanyaki wana kishundu skuelewi ila leo nimeshuhudia neema zenyewe
1st mzagamuo nimeufanya huku pete iko kidoleni inashangilia,niolewe mara ngapi tena? Ndoa ina 3yrs now, mama malezi twende taratibuu.Kungwi uolewe na wewe sasa, na udumu kwenye ndoa yako. Maana makungwi kwa kuachika tu hawajambo
Ila kwa ile baraka boss ledi huna mpinzani
Tupia tena tuone jamani[emoji3059]
Ukisikia hivyo hutegemei mtu awe kimodo hivi!Daah sijui watu wa humu mnasomea upambe. Haya unakuwa na picha gani?
Eeeeeh ndiyo hivyo hivyo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee
Najua tunaingia na pambio ya karibu Yesu mahali hapa
Bosi ledi una mpango wa kutupia nyingine au niondoke zangu tu?Anne hapo sitaki mimi! naona turudi tu kwenye kunijaza [emoji1787]
Ooh wamama wa siku hizi tumegoma kuzeeka, tunapambana na kina Anne tu na wasipokuwa makini tunawakalishaUkisikia hivyo hutegemei mtu awe kimodo hivi!