Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Kati huzuni Yesu ni mfarijiKati giza, Yesu mwanga wangu
Kati huzuni, Yesu ni mfariji
Kati vita, Yesu mwamba wangu
Katika njaa, Yesu mkate wa uzima
Yesu kimbilio, hajawahi kuniacha
Yesu mwamba wangu, mahali pa kujificha
Yesu kimbilio, hajawahi kuniacha
Mmmh unafikiri kitandani kuna ulokole? Usinitafute maneno kesho jumapiliKijana wa hivi, hata bedroom anaimba pambio za sifa hawana maajabu,khaaaah
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Chawa kama chawaAtakayejichanganya kukuanzishia wewe niite tu
Nitabishana naye hadi asubuhi,uzuri huwa sichoki.
Ongezea picha boss lediii
Mwenye wivu atapambana na hali yake
Hivi hakunaga eeeh?Mmmh unafikiri kitandani kuna ulokole?
Vichaa/ wanafiki tu wa jf wakikuamulia kukuchafua ma mchungaji humu ni msitu mnene kuna kila aina ya wanyama!Kwa nini uchambwe?
Naomba nione hii uliyotuma sahivi, plz.Wee nipambe tu siku nikianzishiwa vagi la kuchambwa jf mie siwezagi kuongea mwenzio ntakuita uje unitetee ohoo!
Kwamba mnaanza na wimbo wa kuabudu kuvuta uwepo au? Olewa kwanza nyau weweHivi hakunaga eeeh?
Washindweeee. Mbona upo busy na selfies zako, sionagi hata ukikwaruzana na mtuVichaa/ wanafiki tu wa jf wakikuamulia kukuchafua ma mchungaji humu ni msitu mnene kuna kila aina ya wanyama!
Mmmh unafikiri kitandani kuna ulokole? Usinitafute maneno kesho jumapili
We endelea tu kunijaza..kesho una vocha yako spesho ya kunitia ujinga 🤣Atakayejichanganya kukuanzishia wewe niite tu
Nitabishana naye hadi asubuhi,uzuri huwa sichoki.
Ongezea picha boss lediii
Mwenye wivu atapambana na hali yake
Hivi hakunaga eeeh?
Vichaa/ wanafiki tu wa jf wakikuamulia kukuchafua ma mchungaji humu ni msitu mnene kuna kila aina ya wanyama!
Kuna Mchungaji mmoja anaitwa Rose nadhani kuna clip inazunguka alikuwa anawapa za uso akina mama wa kilokole kuwa wakiingia kunako 6 kwa sita watupe ulokole wao kule nilicheka sana. Halafu Mchungaji mwenyewe ni pisi kali hatari dah! Nadhani ndilo litakuwa kanisa langu hilo. Ana mafundisho mazuri sana!Mmmh unafikiri kitandani kuna ulokole? Usinitafute maneno kesho jumapili
Ile clip ninayo kabisaaaaaa, mda wote naitazama,Kuna Mchungaji mmoja anaitwa Rose nadhani nafikiri alikuwa anawapa za uso akina mama wa kilokole kuwa wakiingia kunako 6 kwa sita watupe ulokole wao kule nilicheka sana. Halafu Mchungaji mwenyewe ni pisi kali hatari dah! Nadhani ndilo litakuwa kanisa langu hilo kwa kweli
Kabisa shos!!wacha wee, mbna sikua najua, kumbe inabidi nikae kwa kutulia? Lol.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mambo yamebadilika wewewee mandoa mengi ya walokole yanaachika kisa pambio za kusifu na kuabudu hadi bedroom, khaaaah
Hebu lete hayo maneno mama malezi, mie niyasikie hapa lol.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Wajee wajeeVichaa/ wanafiki tu wa jf wakikuamulia kukuchafua ma mchungaji humu ni msitu mnene kuna kila aina ya wanyama!
Amen amen!!🙏🙏Washindweeee. Mbona upo busy na selfies zako, sionagi hata ukikwaruzana na mtu
Huyo boya atakayefanya hivyo wanaselfika atatubebea mbeleko gani? Kila mtu aishi maisha yake. Huna shida na mtu unakuja humu unacheka na watu unakwenda zako. Ya nini kupangiana maisha?Wee nipambe tu siku nikianzishiwa vagi la kuchambwa jf mie siwezagi kuongea mwenzio ntakuita uje unitetee ohoo!