Nilichogundua humu kuna watoto wakali sana, kama hizo picha ni zao.
Ambacho sikipendi ni kuhusudisha mapombe tu na itakua ni wapenzi wa shisha, kitu kinachowaondolea u-wife material.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]sasa kama hujui hawa ndio wenyewe
My Heart beats for you❤❤❤❤
Hapana mkuu, mi nakunywa, ila sipendi mwanamke wangu awe mpenzi wa mapombe na anayezurura vilabuni.Kaka Jambazi kaokoka
Madada wa chuga hawajawahi kuniangusha kwenye rangi na umbo..😙😙😙😙😙
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pampula una nini lakini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Home not alone. Kila mtu naona anadanganya home alone mi siwezi kudanganya kwakweliView attachment 1244952
Una vidole 4 au macho yangu yana ukungu[emoji3][emoji3]
Vidole hivyo dada
Hiiiiiiii,,,View attachment 1244482
Kwa nini umeifuta picha?😫Wambaze kaka!
Ndaga nkamu
Home not alone. Kila mtu naona anadanganya home alone mi siwezi kudanganya kwakweliView attachment 1244952
Shemejii..