Origin tena em nenda sijui google
Ia wine zangu origins zake najua
Try pia mocktail ya ginger ale na orange juice na sugar syrup kwa mbali… kuna ka kitu pia wanawekaga nimekasahau ‘ kanaishia na berry vile
Napenda kunywa kunywa
Mm hata naweza acha ice cream iyeyuke afu niweke kwa mug nikunywe na mrija