Yeaaaah ulanzi ni pombe ya asili, mtamu huyo wee [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Ulanzi ni pombe ya asili ?
Hivyo vitu kama huviwezi unaweza lia aisee [emoji28] .
Kuna Pepsi, Alvaro, bavaria, ginger ale, juice na mocktail kibaoooo
Achana na mipombe haifai best
Fanya namna uubariki usiku huu na selfie safiii
Ndio mnanyweaga kwenye makopo? π€£Yeaaaah ulanzi ni pombe ya asili, mtamu huyo wee [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wangoni hatuna show mbovu, tumebarikiwa aseeeeh.Ewaaaaaaa..[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]dogo langu wakunijaza Dada akooo[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Alafu si niliaga mieee..embu nilale
Ooh inaonekana ni nzuriYeaaaah ulanzi ni pombe ya asili, mtamu huyo wee [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Pumberve wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jinger we [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada una nn wee?Wine na iheshimiwe na watu wote
Wine sio pombe
[emoji41][emoji2212][emoji2212]
TeynaaaA..ππππ kumbe Rey Ni wa nyumbani aisee π€π€π€[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wangoni hatuna show mbovu, tumebarikiwa aseeeeh.
Mie, wee, na reymage tosha kabisa kumaliza uthibitisho. Hahahah
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Muanzi.Ooh inaonekana ni nzuri
Inatengenezwa na zao gani hivi ?
Ndyooo wakunyumba yuleeeeh [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]TeynaaaA..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe Rey Ni wa nyumbani aisee [emoji847][emoji847][emoji847]
Mwanadamu Bila Mungu huwezi loloteWeuweeee. Hata j3 usije, nitakushikia zamu
Nyumbii hii bombi hii....ππππTeynaaaA..ππππ kumbe Rey Ni wa nyumbani aisee π€π€π€
Nilikuwa nafikiri ni mmama flani hv...kumbe kigori kabisa,..soo cuteUlikua wanifikiriaje ?pisi kali eeh kumbe majangaππ
Siku moja bila Mungu bila uwepo wa MunguWeuweeee. Hata j3 usije, nitakushikia zamu
Okay thanks
Ahsante Tinsley π22 October
TGIF View attachment 2146244
Ahsante Sana mpendwa...ila mimi mmama ujue..πππBasi tu sura imegoma kuzeekaNilikuwa nafikiri ni mmama flani hv...kumbe kigori kabisa,..soo cute