Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
😀😀😀 sawa kuanzia jumatatu, kesho naenda mkoaniSame here Headmaster. Uwe unanipitia basi hapa mndela wa kwanza 🤣🤣
😀😀😀 sawa kuanzia jumatatu, kesho naenda mkoaniSame here Headmaster. Uwe unanipitia basi hapa mndela wa kwanza 🤣🤣
Boss ledi umenena vizuri hapo kwenye NB.Badae nawewe Fanya ofa ya vocha mjeda walau hio wish itafika vizuri! utatupia humuhumu vocha aina zote ke ataeipata bahati yake!
NB: Wanaume vocha zikitumwa Fanyeni kuvunga pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!!!!!

Ooh sawanadhani ila cna uhakika
KumekuchaBoss ledi umenena vizuri hapo kwenye NB.
Haiwezekani wanaume nao eti tugombaniane vocha humu![]()
hebu weka na ww tuoneWatu mna matumbo flat hadi raha!!! Hongera sana umetokelezeajeeeeeee😘!
TBS ya Macho yangu imesha dhibitisha pasi na shaka, wewe ni Chombo hasa 🙊Kuna ufundi gani hapo G![]()
Nilisema Mimi jana kuwa huyu dada ni kichwa..anaongea points tu!Kumekucha

unaonekana kilosa unapajuaOoh sawa
Na wewe unapuyanga? Sawa karibu Mtendeni basi ukirudisawa kuanzia jumatatu, kesho naenda mkoani
Hivi naimagine kangekuwa kamwalimu kweli,si watoto wangekaonea sanaKweli mdogo angu; na ndiyo maana walimu hatuzeeki
TBS ya Macho yangu imesha dhibitisha pasi na shaka, wewe ni Chombo hasa![]()
Kitambo sana. Nilifika last year nikawa nashangaa tu palivyobadilikaunaonekana kilosa unapajua
Kangepambana tu. Em selfika basi na TBTHivi naimagine kangekuwa kamwalimu kweli,si watoto wangekaonea sana
Walimu na waheshimiwe na watu wote!!!Kweli mdogo angu; na ndiyo maana walimu hatuzeeki
Boss ledii ni mtu na nusuThanks dear nimepata...uongezewe ulipopunguza mamy......Barikiwa sana
![]()

AMEN. Mungu awabariki sana walimu. Ngoja na Mimi nikasomee ualimu; watu miaka na miaka hawazeeki daahWalimu na waheshimiwe na watu wote!!!
Anne umeanza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😜😜!! Tafadhali mbavu zangu mwenzio!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nilisema Mimi jana kuwa huyu dada ni kichwa..anaongea points tu!
Kwanza jana ametupia vocha![]()
Na hawazeeki kweli.AMEN. Mungu awabariki sana walimu. Ngoja na Mimi nikasomee ualimu; watu miaka na miaka hawazeeki daah
Sent using Jamii Forums mobile app
ok,pamebadilika haswaKitambo sana. Nilifika last year nikawa nashangaa tu palivyobadilika
Sent using Jamii Forums mobile app