Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,392
- 59,148
Thanks dear nimepata...uongezewe ulipopunguza mamy...😘😘😘😘😍😍...Barikiwa sana🙏Hizo hapo View attachment 2144899
Thanks dear nimepata...uongezewe ulipopunguza mamy...😘😘😘😘😍😍...Barikiwa sana🙏Hizo hapo View attachment 2144899
Thanks dear nimepata...uongezewe ulipopunguza mamy...😘😘😘😘😍😍...Barikiwa sana🙏
unashiba kweli ???
Tena VIP seat😂😂😂 nilicheka sana nilipoiona…
Nikajisemea haidondoki hiii mpaka ifike
Wakwe wana seat zao spesho paradiso.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] nakubali mtaalamuFortnox naamza zoezi nirudi uwanjani kwenye nafasi ya kiungo mchambuliaji [emoji16][emoji16]
View attachment 2144854
[emoji1787][emoji1787]Ngombe ni multipurpose mkuu , kwetu ni usafiri na ni nyama pia[emoji23]
Nafika tuu nakutana na hizi lipsi matata na hii rangi ya kwenye video. Nadhani naweza kulog out na kwenda kulala.Usiku mwema wana selfika![emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]View attachment 2144973
Nipo mkuu, habari yakoo[emoji1787][emoji1787]
Kumbe upo
Wababaishaji sana nyie mna maneno mengiiii[emoji18][emoji18][emoji47] [emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji113][emoji113][emoji42][emoji42][emoji42] My Sons Legacy nimeona like yako ila jana ukajifanya hujaona ile tag!!Nafika tuu nakutana na hizi lipsi matata na hii rangi ya kwenye video. Nadhani naweza kulog out na kwenda kulala.
Sijambo wa kienyeji wangu😉😉Hujambo rafiki yangu wa kienyeji
Wewe ndo useme unarudi/utakuwa mwanza lini mkuu ili nijue
Mie tena mbabaishaji.Wababaishaji sana nyie mna maneno mengiiii[emoji18][emoji18][emoji47] [emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji113][emoji113][emoji42][emoji42][emoji42] My Sons Legacy nimeona like yako ila jana ukajifanya hujaona ile tag!!
Niliongelea tu kwa ujumla mkuu kutokana na scenario aliyoieleza yule dada niliyemquote.Nini kimekwamisha kutangaza mkuu..?
Na nilisema kwamba sikuona notification and somehow you seemed to understandWachoyo sana nyie...dada enu niliomba vocha jana tu imagine jana tu mkala buyu!!! So disappointed!![emoji45][emoji45][emoji45]
Na nilisema kwamba sikuona notification and somehow you seemed to understand
Kama umewahi kutumia app utaelewa kua huwa inakua kichomi
Nilielewa, ila pia nilikua naweka rekodi sawa sawa.Its a joke buddy..... don't take it serious!! Nilitaka kuwapima tu niwaone!!!! Haikuwa MUST mwaya mnisamehe buree!! mkuwe na usiku mwema tena na tena!!!!
😘✌️Nilielewa, ila pia nilikua naweka rekodi sawa sawa.
Usiku mwema na kwako pia rafiki.
Nimefurahi kuona hako kabusu. [emoji3][emoji3][emoji8][emoji3577]
MzushiiiiNimefurahi kuona hako kabusu. [emoji3][emoji3]