Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,308
Kaa hapo hapo usitoke!!👈hebu weka na ww tuone
Kaa hapo hapo usitoke!!👈hebu weka na ww tuone
Najaribu kuwakumbusha watu jinsi ulivyo mtu na nusuAnne umeanza!! Tafadhali mbavu zangu mwenzio!!
![]()

Nasubiri simu yakoHayo ndiyo maneno sasa🤣🤣
TBT Sina
Na hawazeeki kweli.
Kwanza hata baada ya kustaafu hawawezi kutulia bila kazi.
Atatembea tu kwenda shambani na kurudi ..ili mradi asikae idle tu.
Em selfika nifurahi mimiTBT Sina
Labda niselfike na mpya mpya nikiwa na kipenzi chako ambazo zitakufanya utoe igwe zako .
nimekaa leo nina muda maana kesho nazaliwa nitakua busy na mambo mengineKaa hapo hapo usitoke!!👈
Maza nyumbani hajawahi kukaa bila kaziYaani nakutana na walimu wangu wa primary na wengine wameshastaafu ila wapo vilevile kama miaka Ile. Mimi ndiyo naonekana nimezeeka
Eeh kwa nini nisikuamini?
Hivi na wewe unaniamini kweli?
SawaEeh kwa nini nisikuamini?
haya subirinimekaa leo nina muda maana kesho nazaliwa nitakua busy na mambo mengine
Happy birthday in advance kizee changu cha toka enzi na enzi..😂 ishi sana mwambanimekaa leo nina muda maana kesho nazaliwa nitakua busy na mambo mengine
Headmaster unapaa au?
Zangu zipi unazotaka kuziona? Afu dogo unashindana na mimi siku hizi?Sawa
Subiri zinakuja.
Ila ni hadi nione zako kwanza,,,vinginevyo sikupi.
Na nimepata pa kukunyanyasia.
Nipo kila sehemu.. mda si mrefu unaweza shangaaa nipo Arusha 😀😀😀😀.. nipo kama kizukaHeadmaster unapaa au?
Anaona kakua 😀😀😀Zangu zipi unazotaka kuziona? Afu dogo unashindana na mimi siku hizi?
Hahahaha madam umenikumbusha enzi hizo "nyie msome, msisome; mimi mshahara wangu upo palepale"Kazi isiyo na stress kiiivooo... usipojisikia kufundisha unawapa wanaandika notes tu ndio ushaingia class lakini....
Ukiwa na stress zako kipindi kizima unawapa zoezi tu ndio ushaingia class hivo
unakaa zako nyuma ya darasa nakuwaambia tu acheni kelele!View attachment 2145326
Ahsante HMNipo kila sehemu.. mda si mrefu unaweza shangaaa nipo Arusha 😀😀😀😀.. nipo kama kizuka