Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Eti kananitishia kabisa😁😁Anaona kakua 😀😀😀
Eti kananitishia kabisa😁😁Anaona kakua 😀😀😀
hahahahaha,hebu tuwasiliane wanguHappy birthday in advance kizee changu cha toka enzi na enzi..😂 ishi sana mwamba
Kesho nitakua busy na mambo mengine sitaweza kukuwish
Unawasha makofi ya mgongo tu.. ashike adabu 😎😎Eti kananitishia kabisa😁😁
IUnawasha makofi ya mgongo tu.. ashike adabu 😎😎
Weka ya juzi ikiwa na vidoleZangu zipi unazotaka kuziona? Afu dogo unashindana na mimi siku hizi?
vitoto kama hivyo ni kuvizabua tu makofiNdipo tunapoelekea
I
DuhHahahaha madam umenikumbusha enzi hizo "nyie msome, msisome; mimi mshahara wangu upo palepale"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti kananitishia kabisa[emoji16][emoji16]
Duh
Nimepitwa na picha ya boss ledii
Boss ledii tafadhali irudiwe.
Tutaona nini sasa kama sio picha Zako[emoji2]
Mweeeehhahaha ! Kazi iendeleee
Waache wamtamkee 🤣
Benzema beib 💃💃
Ili ugundue nini sasa?Weka ya juzi ikiwa na vidole
Hee!
Mnanitishia?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Picha gani na wewe Lumumba? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duh
Nimepitwa na picha ya boss ledii
Boss ledii tafadhali irudiwe.
Tutaona nini sasa kama sio picha Zako[emoji2]
Sema suuu tukukomeshe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona umepata sapoti ya kadogo kako
Hivi unadhani sapoti ya hako katoto inanitisha?
Yupo kimya ana-like tuWigelekelo unapenda umbea wewe[emoji2]
Unapitisha like kwenye comments za kikuda
Mweeeeh
Sema boss ledii huwa una roho nzuri,utairudia watu tusafishe nyota Kwa kuianza siku na picha ya pisi kalii ya boss ledi.
Picha please😂😂 sijawahi ona hata guu lako la bia ujue..nasikia tu hs ana guu guu..lakini sijawahi shuhudia nibariki basi mama😍😍