Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama malezi nawee umeona? Jaman kwann sasa si ugelala tyuuh,. Hadi ukasave tena lol. Hahahahah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hii picha itafutwe mpaka ipatikane hii. Ilikuwa picha ya aina gani hasa?

Uko class UDSM ama? [emoji16]
 
Hii picha itafutwe mpaka ipatikane hii. Ilikuwa picha ya aina gani hasa?

Uko class UDSM ama? [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntairudia j2 nikiwa mzima, wasijar hawq wasioona, mie mzungu bhana sinaga uswahili, woooooiiiiiiii

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Huo ni mkono wa kulia bana. Nina vidole virefu sanana vimeachana; mara nyingi kwenye picha vinaniharibia pozi hadi nikumbuke kujipozisha; ndiyo maana most of my pics huoni vidole. Afu wahenga wakati mwingine hata Pete hatukumbuki tumeziacha wapi.
Mimi itakuwa heri nisahau kidole sehemu kuliko Pete aiseeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…