Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu huyo akikuwekea nitaweka familia yangu yote bila imoj.

Huyo anawekaga kama kimbunga, na harudiagi. Wanaomtingaga sana anawapelekea pm, hao ni wadada tuu.

Halafu unaweza usimuone akichangia saa nne mpaka saa nane usiku, hata umtagi hajibu, jiroge utupie picha, anakuquote anakwambia asante usiku mwema.
Heaven Sent njoo ubishee
Naomba nibishe kwa niaba yake😅😅
 
Ukiweka kitu hapa maana yake unataka kionwe na public. Huna mamlaka nacho tena mjukuu. We relax tu
Hapa tyuuh na sio ruhusa kusave, wallah kwa hili nipo serious, sitaki utani naye kabisaa, km yeye sio mnafiki atume hapa.watu wote waone, huko PM kwann, atume hapa km yeye sio mnafiki.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Tunataniana tu nawe mjukuu kha!

Usiharibu vibe basi bwana.

Let's just laugh and have fun bana...

Leo ni siku ya wanawake...tufurahie tu...

Hakuna aliyetumiwa picha yako PM. Why? How? When? Which?...
 
Back
Top Bottom