Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Usiku mwema wana selfika!! [emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]View attachment 2143814
Dah!!MUNGU fundi kwa kweli
 
Mkuu huyo akikuwekea nitaweka familia yangu yote bila imoj.

Huyo anawekaga kama kimbunga, na harudiagi. Wanaomtingaga sana anawapelekea pm, hao ni wadada tuu.

Halafu unaweza usimuone akichangia saa nne mpaka saa nane usiku, hata umtagi hajibu, jiroge utupie picha, anakuquote anakwambia asante usiku mwema.
Heaven Sent njoo ubishee
Hata sasa si ajabu yupo tu katulia. Mara paap huyu hapa. Huwa anaongozwa na Roho Mtakatifu naona [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu huyo akikuwekea nitaweka familia yangu yote bila imoj.

Huyo anawekaga kama kimbunga, na harudiagi. Wanaomtingaga sana anawapelekea pm, hao ni wadada tuu.

Halafu unaweza usimuone akichangia saa nne mpaka saa nane usiku, hata umtagi hajibu, jiroge utupie picha, anakuquote anakwambia asante usiku mwema.
Heaven Sent njoo ubishee
Haha...kwa kweli huyu mpendwa wangu/wetu huwa ni mgumu sana ku selfika

Kwema lakini mkuu
 
Usiku mwema wana selfika!! [emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]View attachment 2143814
Ewaaaaaa..............
Mambo ni motoooo🔥
 
Back
Top Bottom