Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,994
- 13,311
Alright mkuu,tupo pamoja.Nchi ndogo hii. Ila kuna sura typical zinapatikana Arusha tu.
Alright mkuu,tupo pamoja.Nchi ndogo hii. Ila kuna sura typical zinapatikana Arusha tu.
Hakika niko hapa nasubiri kwa hamu...usiwaze..mie tena kwenye selfii sina hiyana kabisa.. ngoja nimalize ubize kidogo
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwili upo!! umejaa jaa kidogo ke akikukalia aaaahhhh burudani [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]Nimenona?
Aisee nifafanulie.
hahahaaa.. kidogo...sio sanaHakika niko hapa nasubiri kwa hamu...
Hope utajifichaficha.
Lol![emoji38] [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwili upo!! ke akikukalia aaaahhhh burudani [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Kweliii mkuu..!! Generally sio kimbaumbau!Lol![emoji38] [emoji1787]
Kama kweli vile.
Dooh too bad nimechelewa, nimekuta ishafutwa.
Hebu soma ufaulu we katoto [emoji38][emoji38]Jaman mama cocastic atakuja kuniua pressure km sio sonona, eti nikipata GPA ya kuanzia 4.3 atanipa zawadi kubwaaa ambayo sijawahi kuipata wala kuijua. Hivi anadhan mchezo eti eeeeh, kwa ubongo gani nilionao sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anipumzishe kwanza, ndo kwanza likizo imeanza rasmi kaamua kunipa stress woiiiiiiiiih. Akaaaah sitakiiiii.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Bora umwambieAvatar yako ya sasa sijui naionaje[emoji53]
Sema wee shouzzz [emoji23][emoji23][emoji23]Unazingua wewe! Navokuonaga mzungu uwiiiii!!
Sema wee shouzzz [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Upo tayari au ushatoka online????!!!Lol![emoji38] [emoji1787]
Kama kweli vile.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wazazi hawa wakae kwa kutulia, mtu mwenyew hapa nshachoka kukimbizana na madesa woiiiiiiih.Mimi mwaka wa mwisho ulivyofika,nilisoma kumaliza
Wakati naanza nilikuwa na moto na mbwembwe na target kibao[emoji16]mambo yalivyokuwa si mambo nikawa natafuta nimalize salama.
Halotel lect [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wait mrembo soon nitaweka hapa. Voda, tigo na halotel?
Mbna sijaona mie, afu ana kidevu huyo [emoji7][emoji7]Una sura nzuri![emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jack Palladino ni lini utaweka kama hii??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]