Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,209
- 183,048
Amina kubwaaaa... ubarikiwe tena na tena wataoziwahi wabarikiwe pia watatuwakilisha...Wait mrembo soon nitaweka hapa. Voda, tigo na halotel?
shukrani [emoji120]
Amina kubwaaaa... ubarikiwe tena na tena wataoziwahi wabarikiwe pia watatuwakilisha...Wait mrembo soon nitaweka hapa. Voda, tigo na halotel?
Una sura nzuri![emoji12]Ambition +++View attachment 2143122
Ya kiarushaUna sura nzuri![emoji12]
yanii..japo mwanaume ila amenonaje!Ya kiarusha
Hatari sana, wese lisipofika elfu 5 sijui
Jack Palladino ni lini utaweka kama hii??Ambition +++View attachment 2143122
[emoji23][emoji23][emoji23]Amina kubwaaaa... ubarikiwe tena na tena wataoziwahi wabarikiwe pia watatuwakilisha...
shukrani [emoji120]
Nasubiri yako mahondaUna sura nzuri![emoji12]
[emoji1787][emoji1787]Dooh mtihani huu my ex
Yangu naomba utanirushia bobo(airtl)
Dah!niseme nini tena...?Ya kiarusha
Avatar yako ya sasa sijui naionaje[emoji53]
🤣🤣🤣 imejaa giza auAvatar yako ya sasa sijui naionaje[emoji53]
Unacheka nini we mtakatifu [emoji28][emoji1787][emoji1787]
Nimenona?yanii..japo mwanaume ila amenonaje!
Nchi ndogo hii. Ila kuna sura typical zinapatikana Arusha tu.Dah!niseme nini tena...?
Ama tunafahamiana hutaki kusema?
usiwaze..mie tena kwenye selfii sina hiyana kabisa.. ngoja nimalize ubize kidogoNasubiri yako mahonda
@Saint Anne siku yenu itapendeza kama ukitubarikia na photo ile ya vitenge[emoji1787][emoji1787]