Ndipo spouse anapokupelekaga π€£π€£π€£π€£Hivi hii hotel ya vede iko posta? Nashindwa kuelewa, palm village, na Verde, ziko wapi ila naonaga Millard Ayo anapatangaza mnoo, napajua Hyatt regency na johari rotana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ila huyu mdogo wetu naye anadeka mno jamani khaa [emoji2297][emoji2297]
Kameelewa sana sema kanajifyatua akili tu hapa [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Kila mtu analala kwake ila mnawahi kulala mapema
Eeeeeh mambo haya sasa, wapiiiiih stogimbiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu fanya hivyo bhana.Nitakutumia lokesheni[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi una nn wee? Nimecheka mno, nlipovunja kikoba, upatu, na Mpeano, ndo nkaamua niji bless na tour ya hotel maarufu, nkaanzia Hyatt regency, nkamalizia Johari rotana,Ndipo spouse anapokupelekaga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km secondary jaman khaaaah, eti chuo uwiiiiiih.Misele kama kawaida, kidogo hapa kupiga lecture mabinti wasilubunikeView attachment 2142005
πππ vutoto vya UDSM mnajionaga kama mpo Yale vile ππ.. chuo sio majengo chuo ni kichwa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km secondary jaman khaaaah, eti chuo uwiiiiiih.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Anajichetua tuKiswahili kigumu sana nkamuπ€£π€£π€£
Anawazunguka eeh?πππWe si unasemaga unajua pa kumpata usituzunguke [emoji3][emoji3]
Halafu nimekumiss siku hizi unapotea kama balimi [emoji849][emoji849]
Nimeokoka mwaka huu, subirini mwakaniππDada angu hanaga hiyana [emoji846][emoji846]
Siku hizi upako wa roho mtakatifu umemshukia amekuwa siyo mchoyo tena wa picha zake [emoji4][emoji4]
Wasalimie na Ilonga MsalabaniMisele kama kawaida, kidogo hapa kupiga lecture mabinti wasilubunikeView attachment 2142005
Kana matatizoKameelewa sana sema kanajifyatua akili tu hapa [emoji1787][emoji1787]
Tumepatikana mwaka huuIla huyu mdogo wetu naye anadeka mno jamani khaa [emoji2297][emoji2297]
ππππ ndio naenda hapo sa hii natokea hapa Chanzuri sec school then napita hapo Ilonga kituo cha afya alafu shwaaa sijui ntaenda wapi tena πππWasalimie na Ilonga Msalabani
Kama naliona hilo bichwa sasaπππJamani jamani nkamu bichwa limevimbajeee [emoji16][emoji16]
Nakupendaga bure tu dada yangu [emoji7][emoji7]