Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
We mzee umechanganywa na picha ya sakayo si etiHahahaha
We mzee umechanganywa na picha ya sakayo si etiHahahaha
Dah, asee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyo mzee kanishinda mie
[emoji23][emoji23][emoji23] Ebu hurumia mbavu zanguBora yako. Me kimlonjo afu juu unajua miili yetu ya kinyaki imejaa kama nanyanyua chuma; basi shughuli bin taabu
HakunaaaMbona ipo, angalia vizuri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Najuta kukufahamu. Em niwekee kwanza hiyo picha uloifuta kabla sijafa kwa umbea
Nini mbaya?[emoji23][emoji23][emoji23]daaaaa
Mdanganye tu mwenzio.Wamekuachia milonjo kama yangu[emoji1732]
Ebu airudishe jamani
Bana weee usiniweke roho juu kama nakula tambi; just do the needfulMbona ipo, angalia vizuri.
Kumbe ananifariji tu?Mdanganye tu mwenzio.
Cha moto nakiona; umbea mbaya jamani khaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najua kufa haikufiii ilaaa....
HahahahaWe mzee umechanganywa na picha ya sakayo si eti
Kwahiyo auntie tunabishana?Hakunaaa
Hahahha ukuje bwana nikupeleke tukanunue
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kabisa. Anajifanya hajui roho inavyouma ukipitwa na umbeaBana weee usiniweke roho juu kama nakula tambi; just do the needful
We shukuru Mungu nimekupa huo urithi wa milele[emoji1787][emoji1787]Kumbe ananifariji tu?
Kupitwa na umbea inauma jamaniii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Cha moto nakiona; umbea mbaya jamani khaa
Haha kula tambi ni zoezi tosha la moyo na roho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Roho juu kama unakula nini? [emoji119][emoji119]
Waluguru wananiharibia mtoto haki!!!