Emery Paper
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 1,427
- 2,737
πππππππππππ
πππππππππππ
Ila kumbe washambaa ni warembo aisee!Umbujeee... Tinaumizana banaaa,.![]()
Pampula leo uko kiwanja gani?
Auntie nywele za mbrazil hizo





Yuko Bukoba.Woyoooo sakayo uko wapiii
Nishasahau jamaniKulikoni ?
Auntie mie najua ni zako, hao wabrazili umewajulia wapi?



Nimewajulia kwa mkorea kkoo anaziuza kila aina ya nywele
Bukoba tena anafanyajeYuko Bukoba.
Pampula leo uko kiwanja gani?
Me ndo mkaniachia hiki kimlonjo?Milele amina sweetie!!
Hilo nimechanganya na la auntie angu Atoto
Unaumwa?Nyumban tu leo
Me ndo mkaniachia hiki kimlonjo?




Anachepuka.Bukoba tena anafanyaje
Za saa hizi mama Muinjilisti