Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Haha cjui aliwaza nini jamaa kujiita ivyoLenyewe tuu ni kichekesho!
Huwa nalipenda sana


Vipi dada
Na wewe upo alone kama kaka Mshana Jr?Kwa bed dada
Nafikiri kuna kahistoria nyuma ya hilo jinaHaha cjui aliwaza nini jamaa kujiita ivyo![]()
Hahahah kweli si umeona mshtuko alioupata apo
Sema ukweli dada
Sikuelewi hataVipi dada
Jino lauma?!
Ebu niambie kilichokuchekesha
JamaniHahahah kweli si umeona mshtuko alioupata apo
Mimi sijui kukufwa eeehhhEbu sema
Woyooo