Haha basi tu nimekumbuka kuna siku nami nilipost picha humu nikataja na mkoa niliopo, kuna magari yakawa yanaonekana plate number clearly kabisa. Naye akasema hivyo kuwa haya mambo mtu ameaga kaenda sijui mkoa gani, mara gari yake inaonekana jf iko mkoa mwingine.