Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi watu mnajuaje kuwa siku zenu za kuishi zimepungua
 
Go and read your bible
ujue nini kilifanya Mungu apunguze umri wa kuishi wa mwadamu.. na soma utaona nini kitafanya uwe na maisha marefu
Bado hujajibu swali langu! Unajuaje kama umri wa mtu wa kuishi umepungua kwamba labda alitakiwa aishi miaka kadhaa ila kwa sababu fulani akafariki kabla ya wakati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…