nlishindwa kujizuia acha nilie machozi yanatoka, bas wamama wa pale abiria wakaanza kuchamba mawakala, ndo ilikua sku ya kwanza naingia stand ya msamvu, khaaaah
Ndugu wazalendo kuna gari imekamatwa ilula ikiwa na bajaji tisa piki piki tatu ambazo baada ya kibanowamesema zimeibiwa kutoka dar na kibaha. Kama mtu anajua aliibiwa kati ya hivyo au jamaa yake awasliane na afande method wa ilula moja kwa moja namba 0768501086 pia naomba sambaza taarifa hii katika magroup mengine tafadhari. Diwani picha ya ndege