Selfika na JF: Snap it. Show it

Usiombe shos! Bora jana msukuma kwako alikutana walau hata na pua tu imagine unakutana na majani [emoji134][emoji134][emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeye sasa msukuma alivyo na makusudi, anapost picha ya vitabu afu kwa mbali mzungu yupo swimming pool,

Aaaah inakata stim mnoo, mtu unajua unamuona mzee wa 76yrs kitu hollah, hebu imagine? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Unataka uone mzee wa 76yrs wa nini? Unataka kuninunulia mkongojo digital? [emoji16][emoji16]
 
karibia forest"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…