Mi sina jipya Boss Lady. Na uzee huu wa miaka 76 hata nikiselfika hakuna lo lote la maana. Nipo hapa najisomea huku nikiangalia neema za Allah zikiogelea...Muumba fundi sana yaani!
Kuna mzungu hapa ana umbo la Kinyaki. Yaani ana shundu la uhakika. Kanifuma namwangalia akaishia kutabasamu tu. Ngoja nione itakavyokuwa. Nitaleta mrejesho
πππ weee hakuna kibunda cha freee wala ku download kibundaaaa.. kazi kazi.. Tuna miiko mitatu.. Uvumilivu ( ili kuwa katika mda sahihi na entry sahihi), Risk Management ( usipoteze capital, usipoteze, win:lose.. win ratio iwe kubwa zaidi, lot size calculation etc), usipoteze pesa.. na hii ndio sheria mama.. ππππ... zingine ni mbinu kama mbinu zingine ambazo zinakuja na aina ambayo unataka.. But Forex ni hatari