Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
KipatimuLushoto?
KipatimuLushoto?
Mbona umenicheka mpwa?
Safi sana mkuu! Msosi wa haja huu
mbuzi hiyo 😋
Nahisi ni nyama nayopenda zaidi.. ukikuta muandaaji anajua anakupa mbavu dahMbuzi mee
Ule uokaji kama ndafuNahisi ni nyama nayopenda zaidi.. ukikuta muandaaji anajua anakupa mbavu dah
Mbna km n mto? Nimemmiss kijijin miaka hiyo kuogelea sana na kukwaa samaki,




Babuuuh fanya mpango bas nyama hiyo.
Wakongwe wa selfika
Ndiyooooo..........😍Calling it a day View attachment 2135428