Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

akae kutulia wananirushaga roho sana hawa na mapicha picha Leo mmekuona live[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8].

Halafu eti jf wadada wana sura za baba![emoji848][emoji848][emoji848]wangejuaa!kuna vyumaaa

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Wapi vyumaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Don't trust him!!msanii balaaa[emoji846][emoji846][emoji846][emoji846][emoji16][emoji16][emoji16]!!!hafai huyoooi

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kweli umeamua kunisagia kunguni.
Yani wewe nilikuambia hapahapa jukwaani, nikufate huko kwako, ukadai "ooh me nimeshajifungiaa, nitumie muamala", leo hii unanilaumu mimi kiasi cha kunipondea kwa mama mchungaji
 
Back
Top Bottom