Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

cc3c9d10ed404d169a74ffa830c3e13d.jpg
 
Mmejua kunisurprise.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani watu tumeibuka from nowhere. Mama Mchungaji una ushawishi wa hali ya juu. Ningejua huduma yako iliko huko Uyole aisee ningefika kwa ajili ya maombezi wallahi!

Imagine mi wala sikuwa na hili wala lile lakini Roho Mtakatifu Akanishawishi kufungua uzi dah!
 
Yaani watu tumeibuka from nowhere. Mama Mchungaji una ushawishi wa hali ya juu. Ningejua huduma yako iliko huko Uyole aisee ningefika kwa ajili ya maombezi wallahi!

Imagine mi wala sikuwa na hili wala lile lakino Roho Mtakatifu Akanishawishi kufungua uzi dah!
Usije huku; waumini wangu wengi wana misambwanda. Hutopokea chochote ibadani😅😅😅
 
Back
Top Bottom