Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata sasa wewe ni Ebeneza
Tulipofika wewe ni Ebeneza
Hata sasa wewe ni Ebeneza
Ebeneza, Ebeneza

Sihitaji hatua tano ndipo niseme
Hatua ni moja nasema ni wewe
Si kwa ujanja wangu, si kwa ujuzi wangu
Ni kwa nguvu zako nimefika hapa

Kwa makubwa ni wewe
Kwa madogo ni wewe
Si kwa ujanja wangu, si kwa ujuzi wangu
Ni kwa nguvu zako nimefika hapa
Mpeleke fellowship au ibada za vijana Huyu 9.8ms squared naona akina cocastic wanamfundisha mabaya
 
ebooooooh khaaaah
Screenshot_20220227-170535.jpg
 
Back
Top Bottom