si unajua sasa hivi watu wana mambo ya kiwaki.. wanapost picha second 10 haimo.. wanafuta.. ukisema tu u reflesh inatoka.. nipo nafatilia wachambuzi wa vita vya Russia na Ukraine kumbe JF tuna wachambuzi wengi sanaa
Wa kishua tukionana tena inabidi tunywe chai na hivyo vikorochoko.
Ila utawaambia wanipe tu maji ya kunawa..hivyo visu na umma watabaki navyo tu,wasiweke.
Wa kishua tukionana tena inabidi tunywe chai na hivyo vikorochoko.
Ila utawaambia wanipe tu maji ya kunawa..hivyo visu na umma watabaki navyo tu,wasiweke.