NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,744
- 49,623
Tutakukutanisha na mtaalam wetu wa IT ahakikishe hizo picha + links ni legit.[emoji38][emoji38]
Wakati huo upo zako unaenjoy chai na maandazi [emoji6][emoji16]
Naomba ni enjoy chai na maandazi location nyingine please sio pale [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hata coco beach pale kwenye mihogo panafaa kuliko hapo unapotaka nikaenjoy. [emoji1787]