Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
jamaani mamaaaaa 😔😔😔Unamdanganya hadi mama Pastaa?
jamaani mamaaaaa 😔😔😔Unamdanganya hadi mama Pastaa?
Yakukute kama ya majuziAaah! wapi nimekula 😂
Mungu anakuonajamaani mamaaaaa 😔😔😔
😁😁😁😁😁😁 nime ku miss sana acha nije ni zawadi yakoMungu anakuona
Hayo ndiyo maneno sasanime ku miss sana acha nije ni zawadi yako
Jamani usinifanyie hivyo mamaaaa na kweli hapa tayari naona weziYakukute kama ya majuzi
Kimbia fastaa kabla hujabakishwa na soksi😂😂😂Jamani usinifanyie hivyo mamaaaa na kweli hapa tayari naona wezi
Hahaaaaaahii ndio forex?
sawa mamaaa pastaaa 🤩🤩🤩Kimbia fastaa kabla hujabakishwa na soksi😂😂😂
Miji ya watu. Huku tunaambiwa mita 60
mbele mbelt tuuu 😀😀😀Miji ya watu. Huku tunaambiwa mita 60
I'm practising daddy 😁 Au unataka siku nikienda Usukumani nilale njaa???Babygal unapenda ugali utadhani Msukuma 😀
Leo kuna dalili zote za kuibwa na kuibiwa pia
Hahaaaaaa. Mimi mpaka inafika saa 12 Asubuhi nilikuwa nimehold eurgbp tangu juzi. Hapo nilikuwa na loss ya Maana, ghafla saa nne naona imepinduka nkatoka fasta na small win. Naona inafanya retestAaah! wapi nimekula huwa sitrade bila capacity ya ku hold vya kutosha nawehold hadi niwe chepe chepe![]()
Kwa kweli huwa siwaelewi Hawa wanaserikali weusi, kwamba sisi ndio tunajua Kutunza sana maji?mbele mbelt tuuu![]()
Wakubwa mnafaidi vyeupe
Hahaaaaaa. Mimi mpaka inafika saa 12 Asubuhi nilikuwa nimehold eurgbp tangu juzi. Hapo nilikuwa na loss ya Maana, ghafla saa nne naona imepinduka nkatoka fasta na small win. Naona inafanya retest


umenikumbusha mbali sanaHivi vinini mpendwa
Kumbe maandazi