Babygal unapenda ugali utadhani Msukuma 😀
Nipo hapaaaaaaamamaaa pastaaaa Heaven Sent ume misiwa [emoji4][emoji4]
Unaota kama anakuita eeh?
😀😀😀😀😀😀... acha tu...Unaota kama anakuita eeh?
Wacha wee😀😀😀😀😀😀... acha tu...
😃😃😃😃😃😃.. nipe habari mamaaaa pastaaaaWacha wee
Kwa kweli nipo tu, sina jipya. Fanya hata uselfike basi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].. nipe habari mamaaaa pastaaaa
Nimetumia pm 😀😀😀Kwa kweli nipo tu, sina jipya. Fanya hata uselfike basi
Hahaaaaaa pole sana, cut the lossesGold na WTI vimetia mtu kati [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] sidhani kama kutakuwa na usalama.. Putin atoe kauli ya kiungwana nitoke kwenye kanyampasira aisee
Unamdanganya hadi mama Pastaa?Nimetumia pm 😀😀😀
Aaah! wapi nimekula huwa sitrade bila capacity ya ku hold vya kutosha nawehold hadi niwe chepe chepe😂Hahaaaaaa pole sana, cut the losses