Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapo kwenye uchawi hapooo! Wala siyo "kwa mbali" bali sanaaa!
 
Apigane wapi? Mikwara tu ya keyboard hiyo

Ila walimuweza kweli; na ameapa hatakaa akanyage tena maeneo hayo.

Halafu sijui kapotelea wapi. Isije ikawa kweli alirudi kupigana yakawa mengine ohoo!
Nikimfikiria alivyo,nikilinganisha na kauli zake za kupigana basi nacheeka nataka kuzimia.
Hakawezi kupigana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…