Selfika na JF: Snap it. Show it

nilijaribu last year yaani wanangu wakawa wananisemanga ikabid nianze kunenepa;
Yaani yataka moyo sana!but nilifika 64kgs kutoka 74!
 
nilijaribu last year yaani wanangu wakawa wananisemanga ikabid nianze kunenepa;
Yaani yataka moyo sana!but nilifika 64kgs kutoka 74!
Shem jamani. Why? How? When? Who? Which? Whom? Ulivyo kipotabo hivyo cheupe kimodo pisi kali ujikondeshe tena zaidi ya hapo ili iweje? Ni huyo mla senene za Italy ndiyo anakupa presha? Ashindweeeeeeee
 
Kumbe Shem wapo wasukuma hawajui kisukuma eehh!
Ni hawa wa kishua waliokulia mijini. Hovyo tu
. Binti yangu kakulia nje lakini nimepambana kuhakikisha kuwa anakifahamu Kisukuma vizuri kuliko hata Kiswahili. Na hapa tunapoongea anakamilisha kitabu cha watoto kwa Kiingereza kuhusu hadithi za mashing'weng'we. Na zote alisimuliwa na bibi yake tena kwa Kisukuma kile cha ndani kabisa.

Ni aibu sana kwa Msukuma kwa kutofahamu Kisukuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…