Ni mateso mnoo kwa kweli.
Mkuu wasimange aisee vitambi vinachukiza mnoo vinaharibu sana maumbo ya wanawake!!
ukiwasimanga wanapata angalau jitihada za kukipunguza
Napenda sana Nidhamu ya
Lizzy kwenye kupakua kidogo hawezi nenepa hata maana anakula portion ndogo.