Selfika na JF: Snap it. Show it


Ndiyo. Na majina yote haya yana maana yake. Kuna tasnifu ya shahada ya ubobezi (Masters) katika Isimu kutoka Chuo Kikuu Huria Tanzania inaelezea majina ya Kisukuma kisemantiki na kietimolojia naweza kukutumia ukitaka.
 
Neno nililolikariri ni marehemu bibi akilewa wanzuki washua wakimzingua anawaambia lushindo lwako.
Tusi baya sana. Bibi yako, bila shaka, alikuwa mkorofi sana. Marehemu bibi yangu alikuwa anapenda sana "magigo ga noko" kila tukimkorofisha. Ni afadhali mara mia kuliko "lushindo lwako" japo yote ni matusi
 
Ndiyo. Na majina yote haya yana maana yake. Kuna tasnifu ya shahada ya ubobezi (Masters) katika Isimu kutoka Chuo Kikuu Huria Tanzania inaelezea majina ya Kisukuma kisemantiki na kietimolojia naweza kukutumia ukitaka.
Yeah naomba nitumie! Halafu kuna ile pdf moja uliwahi nitumia ni kamusi ya maneno ya kinyakyusa na tafsiri zake kwa kiswahili kama unayo naomba nitumie tena maana niliipotezaga!
 
Ni muda mrefu mkuu, hata wiki 3 or 4
Hata mwaka senene wanakaa. Inategemea unawatunzaje. Senene wanakaa mda mrefu kwenye mazingira ya ukavu. Kwa mfano ukinunua ndoo nzima basi unakuwa unawaanika juani angalau Mara moja kwa mwezi.
Kama una jiko la Kuni basi unawafunga kwa kuning'iniza pale Moshi unapopita watakaa miaka. Amin amin nakwambia senene wa Moshi ni watamu kuliko kitu chochote namaanisha chochote.
 
CONTROLA Umesikia maneno hayo

Ahsante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…