Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😃😃 huruma huja juu huruma.. na upendo huja juu ya upendo.... na raha huja juu ya raha.. akipata raha napata raha.. akipaliwa na kikohozi napaliwa na kikohozi.. tufika mlimani sitangulii wala hatangulii sote tunafika kwa pamoja bendela kuishusha ⛹️‍♂️⛹️‍♂️

Khaaaaa....!!!

Wabheeeja wabheeeja kulumbaa bhaabhaa iiiggh...!

Mashikolo haya jirani....!

Malizana na ripoti basi kwanza jirani, mie nshanyoosha mikono hewani na nimenyanyua kibendera...
 
😇

20220219_212842.jpg
 
Unaandaliwa supu ya uyoga au uyoga na karanga.. unakandwa na mvuke wa mafuta ya viungo chumba chote marashi... ngozi inazidi kuwa myororo kama kichanga 😃😃😃😃 ndio upumzike

Nimekoma mimii...

Nimekoma sanaa...

Nimekoma kabisa......

Ila sijui kama ntaacha, kukoma kutamu....😅😅😅😆😆😆
 
Back
Top Bottom