Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wee Holy weweee.....

Utaua watoto.....

Hapo ndo unawaita wagugo sasa πŸ˜„πŸ˜„.

#Mungu ibariki kazi ya mikono yangu 😊.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ kule kwetu ndipo yalipotokea na ndipo yalipo zaliwa hakuna fake...

akijichanganya mtu anabadili koo na kabira

mtu anamwagiwa asali kitaalamuu.. mbona anajuta kuchelewa kuzaliwa... kazi inaanzia unyayoni.. akifika kwenye kiuno mtu hoi.. 😎😎
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Jirani unajikuta unauza ramani.. japo alilala hadi asubuhi bila shari yoyote ile.. mwenye kufamau na afahamu 😎😎

🀭🀐🀐🀐 nimeacha jirani πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ.

Ila.... heri nusu shari kuliko shari kamili πŸ˜….

Sasa unaachaje shari yeyote isitokee...😁😁
 
IMG_20220129_212229.jpg
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ kule kwetu ndipo yalipotokea na ndipo yalipo zaliwa hakuna fake...

akijichanganya mtu anabadili koo na kabira

mtu anamwagiwa asali kitaalamuu.. mbona anajuta kuchelewa kuzaliwa... kazi inaanzia unyayoni.. akifika kwenye kiuno mtu hoi.. 😎😎

Toobaaaa.....!!!! 🀩🀩

Jirani wewe ndo unauza ramani sasa....πŸ˜…πŸ˜…

Hapo kwenye utaalamu hapo umanikumbusha, bibi alikuwa ananiambia hii kazi inahitaji umakini.
 
Toobaaaa.....!!!! 🀩🀩

Jirani wewe ndo unauza ramani sasa....πŸ˜…πŸ˜…

Hapo kwenye utaalamu hapo umanikumbusha, bibi alikuwa ananiambia hii kazi inahitaji umakini.
mwenye kuyajua ni mtu makini kama neurologist afanyapo kazi yake.. hatukosei hadi usingizi mzito ushuke πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Jiiiraaaaniiiiiiiiiiii.......

Najizuia kugonga mlango ujue....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜πŸ˜

Yaani hukosei...πŸ˜‹.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ jirani shari yenye amani........

wahenga walisema haina mwisho....

mwisho wake ndio mwanzo wake....

huwezi kumbati mmbuyu.. ila utauzunguka... mmbuyu

ukichoka hoi.. usingizi mzito kama umepigwa nusu kaputi plus πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Looh...!!!!

Kumbe ndo unakuwaga hivi.....!!!

Muonee huruma basi...😊😊

Anapaliwa na kikohozi kizito...

Hatari fire πŸ”₯.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ huruma huja juu huruma.. na upendo huja juu ya upendo.... na raha huja juu ya raha.. akipata raha napata raha.. akipaliwa na kikohozi napaliwa na kikohozi.. tufika mlimani sitangulii wala hatangulii sote tunafika kwa pamoja bendela kuishusha ⛹️‍♂️⛹️‍♂️
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ jirani shari yenye amani........

wahenga walisema haina mwisho....

mwisho wake ndio mwanzo wake....

huwezi kumbati mmbuyu.. ila utauzunguka... mmbuyu

ukichoka hoi.. usingizi mzito kama umepigwa nusu kaputi plus πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jirani....

Nahenee nahenee...πŸ‘πŸ‘

Ukishatuma ripoti tafadhali, #shari yenye amani 😊.
 
Back
Top Bottom