Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

hii hakikisha mjomba
IMG-20220216-WA0652.jpg
 
Umenena ukweli mtupu Kama wafalme walikua nao wengi sisi kwanini tubaniwe au ni propaganda tu NB: HIO MIZIGO PICHANI SHEIKH SIO MCHEZO
Sijawahi kupata maelezo ya kina kuhusu hili suala. Akina Daudi ambao ni wapendwa kabisa wa Mungu walikuwa na wake sijui wangapi. Mpaka akina Paulo na akina Petro ambao hawakuwa na wake nadhani ndiyo walikuja kuchakachua na kuharibu kila kitu...Kukoseshana mizigo tu yaani
 
Back
Top Bottom