Selfika na JF: Snap it. Show it

Shemeji kumbe hili gari halikuvuka?!! Kuna kipindi nilitamanipo kuosheapo kanyota kangu,nikataka nikupigie simu,hofu yangu ikawa "litakuwa limeegeshwa Koromijeee..."
TRA shemeji. Tiaraeiiiiii
. Shwaini zao Tiaraeiii
...

Yaani tozo walizotaka kunipiga zinatosha kununulia vi-IST hata vitano vipya basi nikasema isiwe kesi...nitakuja kivingine mpaka hawataamini yaani.

Fikisha salamu kwa dada yangu mpendwa pamoja na wapwa zangu. Natumaini hata wewe uko sawa. Tumshukuru Mungu shemeji
 
😍😍
 
Yaani hapo tu hawa shwaini ndipo nashwindwa kuwaelewa...
Kwani kale kaupenyo hakawezi kutumika?

Huku kwema kabisa,wapwa zako wote nimewatembelea jana na leo,kesho narudi kwa Kabula.
Mpe salaam binti yangu, Mungu azidi kumpambania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…